Tuesday, August 18, 2009

DID WHAT HEAR ABOUT BENNY KINYAIYA


MWANAMUZIKI aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha EATV, Benny Kinyaiya, ameamua kujihusisha na masuala ya uigizaji wa filamu baada ya kuona fani hiyo ni mojawapo ya nyanja zinazolipa.
Akiongea na Tanzania Daima jana jijini, Kinyaiya alisema hadi sasa ameshashiriki kwenye filamu kadhaa zikiwamo ‘Tone La Damu’, ‘Wrong Number’ na ‘September 11’.
Kinyaiya alisema akiwa anaendelea na fani hiyo ana mpango wa kurejea kwenye utangazaji wa runinga akiwa katika mazungumzo na kituo kimoja ambacho hakuwa wazi kukitaja hadharani.
Nyimbo zake zilizotamba ni ‘Dalila’, ‘Tumekuja Kuwashika’, zilizokuwa kwenye albamu yake ya kwanza na anayodai kuwa ni ya mwisho iliyokuwa na nyimbo 10. http://www.rayhmtullah.blogspot.com

No comments: