Thursday, August 20, 2009

LIVE SHOW TONIGHT SAUTI NA MUZIKI.........WITH ALI K FOR REAL

BLUE 3
MARLOW

ALI KIBA
Wasanii nyota na wenye uwezo mkubwa wa kuimba na kulitawala jukwaa live,Ali Kiba pamoja na Marlow bila kuwasawahau watani wetu wa jadi Blue 3 kutoka Uganda watafanya onyesho lao kwa pamoja katika hotel ya Movenpick,jijini Dar Agusti 20,Leo usiku.
Onesho hilo ambalo linaratibiwa na kampuni bingwa ya burudani hapa nchini ya Prime Time Promotions Ltd,imepanga kiingilio kuwa ni buku kumi(10,000/=Tshs) kwa kila kichwa, na kwamba shoo hiyo kabambe itaanza rasmi mnamo majira ya saa mbili usiku mpaka kucheee.
Wadhamini wa onesho hilo wametajwa kuwa ni mtandao wa simu za mikononi ya Zain,kampuni ya bia ya kinywaji cha Serengeti (SBL) pamoja na redio ya watu ya Clouds Fm 88.4,aidha onesho hilo litaitwa Sauti na muziki.
Mimi kiukweli nadhani kwenye hiyo shoo kutakuwepo na kama kampambano flani hiviiii,bila kusahau suala zima kucheza na sauti hivii,ama mnasemaje wana jamvini ?



No comments: