Tuesday, August 18, 2009

TANZANIEE BEAUTIFUL LEGENDSS


Mchakato wa kumtafuta Kisura wa Tanzania ndio huo umeanza huko Karatu-Manyara,nakupata ambao wataingia katika kambi ya kisura mwaka huu! leo wapo Arusha wataelekea Tanga na tar 20 na 21 watakuwa ndani ya jiji la Dar es salaam Hivyo kama unadhani unavigezo vya kuwa kisura wa mwaka huu wa 2009 KAA TAYARI!!
Mbunifu maarufu wa mavazi Ali rehmtulah ni Moja kati ya Majaji wa shindano hili anaeonekana kuwa makini sana katika kutoa maamuzi!

No comments: