Tuesday, September 15, 2009

UPCOMING DESIGNER FROM KINO KLOTHING

Hiyo nyekundu aliyovaa dada manka(Jide) ni design ya Kina Klothing iliopita, ila kwa sasa wamekuja na design za rangi tofauti na mpya angalia picha zaidi chini.
Na ukitaka kupata maelezo zaidi ya jinsi gani utanunua ingia www.kinaklothing.com
Tshirts za kiume na tops za kike zote zipo, Quality yake ndio usiseme, jaribu utaniambia













No comments: