Wandugu nawatangulizia movie nyingine hiyo ambayo iko jikoni inapikwa "Fair Decision" itatoka soon baada ya "Divorce" ambayo itakuwa madukani kuanzia tarehe 29/9/2009.
sina mengi saana itakapotoka pata nakala yako.
Mdau Ray. kwa picha na habari kibao za tasnia ya filamu bongo
No comments:
Post a Comment