Friday, October 16, 2009

MISS TZ.....EVEN BONGO STAR SEARCH WENT MWANZA...FANTASTIC ONE....

PASCHAL CASIAN
Paschal kutoka jijini mwanza ndio alie kamata taji la mshindi wa bss mwaka huu na kujishindia shilingi za kitanzania milioni 25,000,000/= na kuwaacha wenzake kama Beatrice, Calvin, Jackson na Peter Msechu. Paschal ni choir master na ni mwalimu wa choir ya nyakabungo ya jijini mwanza.Habari ndio hiyo mwanza mwaka huu tumempata Miss Tanzania 2009 as well as mshindi wa BSS 2009 .........

No comments: