Wednesday, September 2, 2009

KUMI LA MAGHFIRA...RAMADHAN KAREEM....MY BLOG FOLLOW



Kwa wote wanaonifwata n akufwatilia kwa ukaribu katika hii blogg ya jamii,nawatakia ramadhan kareem kwa kufanya mema na kuacha yale mabaya aliyoyakataza Mwenyezi mungu.Ni kumi la Maghfira lenye wingi wa toba na kusamehewa madhambi sisi wanaadamu yatubasa basi kuzidisha ibada sana ili tuwe miongoni mw awale watakao samehewa hapa dunia na kesho akhera.
Swaumu njema wadau wa libeneke hii la jamii.
Ahsanteniii

No comments: