Wednesday, September 2, 2009

ROMA TANZANIA BACK AGAIN.........STAY TU



Roma mtanzania halisi aliyetoka kwa fujo na ngoma mooooja tu inayoitwa TANZANIA now is back kwenye bussiness akiwa na producer DUKE chini ya m lab records akiwa na recording deal, na ngoma ya kwanza ipo tayari inaitwa MR PRESIDENT ambayo soon itaachiwa hewani roma amesema imechelewa kwasababu waliobahatika kusikiliza ngoma hiyo wamemshauri mzeiya apunguze misumari. kwa sasa ngoma hiyo iko tayari na anytime JOGOO ANAWIKA TENA.kuwa wa kwanza kuiskiliza hapa itakapo toka

No comments: